ABOUT US



Life speaking Ministry ilizaliwa rasmi, Baada ya MUNGU kupanua mipaka yetu ya maono kutoka Life speaking foundation iliyo anza rasmi tarehe 13/11/2015 kwenda kwenye ministry yenye kurugenzi tatu. Kurugenzi hizo ni kama zifuatazo
1.      Kurugenzi ya Life Speaking Foundation( Life)
2.      Kurugenzi ya Life Speaking Gospel (a Way)
3.      Kurugenzi ya Life Speaking Empowerment  (Truth)
Huduma ya Life speaking ministry ni maono ya kumpeleka YESU kwenye maisha ya watu, ulimwenguni kote kupitia kurugenzi zake zote tatu. Ni kupeleka Uzima, Kweli na Njia  sawasawa na
 Yohana 14:6
"Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi."

No comments:

Post a Comment