FURAHI NA KUSHANGILIA


Una Heri wewe wanaye kushutumu, kwa ajili ya Kristo.
    Furahi na Kushangilia

Una Heri wewe wanaye kuudhi , kwa ajili ya Kristo.
    Furahi na Kushangilia

Una Heri wewe wanaye kunenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili ya Kristo.
    Furahi na Kushangilia

Neno la Mungu Linasema:
  Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu. Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii waliokuwa kabla yenu.
                    Mathayo 5:11,12
 
Bring
Jesus Christ
To All Nations